MAANDALIZI YANAENDELA EXPO2025, OSAKA JAPANI
- March 13, 2025

TanTrade inaendelea na maandalizi ya ushiriki wa Tanzania kwenye Maonesho ya Expo 2025 Osaka Japan, ambapo Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inaratibu ushiriki wa nchi kwenye Maonesho haya yatakayofanyika kuanzia tarehe 13 Aprili, mpaka 13 Oktoba, 2025 Osaka, Japan.
Ushiriki wa Tanzania umejikita katika kutangaza fursa mbalimbali zilizopo nchini kwenye Sekta za kipaumbele ikiwemo Afya, Nishati, Madini, Utalii, Kilimo, Uchumi wa Buluu, Sanaa na Utamaduni pamoja na juhudi za Serikali za kuwezesha Uwekezaji na Biashara ikiwemo miradi ya kimkakati ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege na nishati ya umeme na gesi