KARIBUNI MUWEKEZE TANZANIA BARA NA ZANZIBAR.
- March 12, 2025

11 Machi 2025
Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameshiriki mkutano wa maendeleo ya uchumi baina ya Tanzania na Marekani, ambapo taasisi mbalimbali za umma zimeshiriki ikiwemo TanTrade.
Akiongea katika kikao hicho kilichofanyika Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam Mhe. Mahmoud amewakaribisha Wamarekani kuja kuwekeza kwenye sekta mbalimbali kama kahawa na ngano aidha pia amechukua fursa hiyo kuwaribisha Zanzibar ili kufanya biashara na kuwekeza katika sekta ya utalii na ujenzi.