NGORONGORO DAY, SABASABA 2025, KUMENOGA.
- July 12, 2025

12 JULAI, 2025
Wamasai na Wadatoga kutoka Ngorongoro wamewasili katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam Sabasaba 2025, tayari kuudhulia siku ya Utalii inayoratibiwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro,
(NCAA). Siku hii itaangazia Shughuli za Uhifadhi, Utalii, Maendeleo ya Jamii na fursa za uwezaji. Siku ya Utalii inafanyika katika kiwanja cha Mwl Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam maarufu (Sabasaba Grounds). Katika ukumbi wa Rashidi Mfaume Kawawa (Dome).