Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

BOHARI YA DAWA (MSD) IPO SABASABA 2025.

  • July 5, 2025

5 JULAI, 2025


Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (Dar es Salaam) Ndugu Mavere Tukai ametembelea Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam akiongozana na mwenyeji wake Bi. Latifa M. Khamis Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) ambaye ndio mratibu mkuu wa Maonesho ya Sabasaba na kwa pamoja wametembelea Banda la Bohari ya Dawa lililopo katika kiwanja cha Maonesho ya Sabasaba na kuona vifaa tiba na dawa mbalimbali katika kiwanja cha Mwl. Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.