MADE INATANZANIA YAZIDI KUNG’ARA NANENANE ZANZIBAR
- August 8, 2025
7 Agosti, 2025
ZANZIBAR
Banda la Mamlakaya ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tanatrade) laendelea kuwa kivutio kwa watembeleaji wamaonesho ya Kilimo ya NaneNane katika viwanja vya Dole Kizimbani Zanzibar ikiwa ni siku ya Saba tangu kuanza kwa Maonesho hayo ya Kilimo.
Aidha wadau mnalimbali waotembelea banda hilo la Made in Tanzania wavutia na bidhaa mbalimbali za Kitanzania zinazopatikana bandani hapo