Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

FURSA SOKO LA BIDHAA HALALI

  • August 14, 2024

14.8.2024

Katibu Mkuu wa Dhi-Nureyn Islamic Foundation Sheikh Shams Elmi ametoa rai kwa wafanyabishara na wasajiriamali wa Kitanzania kuzingatia viwango vya Kimataifa vya  bidhaa halali, kwakuwa  soko la bidhaa halali lina walaji wengi hususan kwa mataifa ya nje kama vile Brazil lakini bado kuna uhaba wa bidhaa halali hivyo amewaomba Watanzania kuchangamkia fursa ambapo, Afisa wa TANTRADE Mr. Deo Shayo alitumia fulsa hiyo kuwakaribisha wadau wa bidhaa halali kushiriki katika maonesho ya TIMEXPO yatakayofanyika kuanzia tarehe 26 Septemba hadi 2 Oktoba 2024 pamoja na Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam DITF 49 (SABASABA), katika mkutano wa pili wa Bidhaa Halali uliofanyika katika Ukumbi wa Mwl. Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.