SIKU YA KOREA YAWAVUTIA WENGI
- July 4, 2025

4 JULAI,2025
Mhe.Prof Kitila Mkumbo Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais,Mipango na Uwekezaji,amempongeza Bi Latifa M.Khamis Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kwa kuandaa siku ya Korea hii itawahamasisha Wafanyabiashara wa Tanzania na Korea kubadilishana fursa mbalimbali na kujifunza mbinu za Kibiashara zaidi katika Ukumbi wa Rashid Mfaume Kawawa ndani ya viwanja vya Mwl J.K Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.