Mkutano wa Viwango vya Kimataifa (I.S.O) kufanyika Zanzibar
- August 14, 2024

13.8.2024
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Viwango Tanzania (TBS ) wameangazia kufanikisha mkutano wa Viwango vya Kimataifa unaotarajiwa kufanyika mwezi Juni 2025, Zanzibar. Mkutano huo utajumuisha ubainishaji wa viwango elekezi kwenye bidhaa na huduma za Kitanzania ili kuleta tija na ushindani kwenye soko la Kimataifa. Waliainisha hayo wakati wawakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa (TBS )walipotembelea ofisi za TANTRADE zilizopo barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.