MAONESHO YA WIKI YA VIWANDA NA BIASHARA YAANZA RASMI
- May 21, 2024

20 Mei, 2024
Maonesho ya Wiki ya Viwanda na Biashara yanayofanyika katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma yakiwa yanaenda sambamba na usomaji wa Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara inayotarajiwa kusomwa tarehe 21 Mei, 2024 yameanza leo rasmi.
Maonesho hayo ambayo yameratibiwa na Wizara ya Viwanda na Biashara na TanTrade yamehusisha Taasisi zote za Wizara hiyo pamoja na wadau wa viwanda nchini.
Maonesho haya yatahitimishwa rasmi tarehe 22 Mei, 2024.