MAONESHO YA VIWANDA TIMEXPO 2O24, YAACHA ALAMA YA USHINDI KWA WAFANYA BIASHARA
- October 4, 2024

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya biashara Tanzania (TanTrade) Bi Latifa Khamis akitoa taarifa ya mafanikio ya Maonesho ya Kimataifa ya Viwanda (TIMEXPO) wakati wa hafla ya ufungaji wa Maonesho hayo uliofanyika leo tarehe 2 Oktoba, 2024 katika Ukumbi wa Mhe. Ali Hassan Mwinyi ulioko Kiwanja cha JK Nyerere, kilichopo barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam
Bi Latifa ameeleza kuwa katika maonesho ya mwaka 2024 yalifanikiwa kuwa na washiriki 257 tofauti na mwaka 2023 ambapo walikua na washiriki 79, ambapo Taasisi 8 zimeweza kuendesha kliniki ya biashara iliyofanikiwa kutatua changamoto 47 za kibiashara.