Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

INDONESIA YATOA FURSA KWA WAFANYABIASHARA TANZANIA

  • July 24, 2024

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Biashara Tanzania Bi. Latifa M. Khamis amepokea ugeni toka Ubalozi wa Indonesia ukiongozwa na Mhe. Balozi Tri Yogo Jatmiko  ambapo ametangaza fursa kwa wafanyabiashara wa Kitanzania kuwa na fursa ya moja kwa moja kuuza na kununua bidhaa zao nchini Indonesia, wakati alipotembelea ofisi za TanTrade zilizopo barabara Kilwa, Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 23 Julai, 2024.