MAONESHO YA MADINI GEITA YAANZA KWA KISHINDO
- October 4, 2024

Afisa Biashara kutoka Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) akitoa Mada kwenye semina maalum ya Maonesho ya Saba ya Madini Geita iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade kwa kushirikia na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita, semina hiyo imeangazia mpango kazi wa jinsi gani maonesho hayo yatafanyika kwa kuzingatia usalama wa Wanamaonesho, bidhaa na mali zao, Watembeleaji nk, katika Viwanja vya EPZ Bombambili Geita, leo tarehe 2, Oktoba 2024.