Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

MKOA WA DAR ES SALAAM KUWAINUA WAFANYABIASHARA KUPITIA MAONESHO YA 49

  • April 10, 2025

09 Aprili, 2025.
Dar es salaam.

Mamlaka ya Maendeleo ya Bashara Tanzania (TanTrade) imeupokea ugeni kutoka ofisi ya Mkoa wa Dar es salaam kwaajili ya kujadili mipango waliyojiwekea katika kuwainua wajasiriamali wa Mkoa wa Dar es salaam kupitia Maonesho ya Msimu huu wa 49. Kikao hicho kimefanyika katika ofisi za TanTrade jijini Dar  es salaam.

Mbali na hilo walipata wasaa wakutembelea eneo ambalo watalitumia kwa msimu huu wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es salaam.