PONGEZI MHE. MARIAM DITOPILE MZUZURI KWA UTENDAJI NA KUJITUMA
- November 4, 2024

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Selemani Jafo, amempatia Tuzo Mhe. Mariam Ditopile Mzuzuri tuzo ya pongezi kwenye eneo la utendaji na kujituma katika sekta ya Viwanda na Biashara. Waziri Jafo ametoa tuzo iyo leo katika uzinduzi wa Gulio Mkoani Lindi, tuzo iyo aliyopewa Mhe. Mariam Ditopile Mzuzuri ilipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Victoria Mwanziva, Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeshiriki katika maandalizi ya tuzo iyo, Leo tarehe 2, November 2024, Lindi Tanzania.