Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

WANANCHI WAENDELEA KUFURAHIA MAONESHO YA VIWANDA

  • October 2, 2024

30/09/2024
Dar es salaam

Wakazi wa Dar es salaam na maeneo jirani wameendelea kupatiwa huduma mbalimbali za kijamii katika viwanja vya J. K Nyerere (Sabasaba) katika Maonesho ya Kimataifa ya Viwanda ya TIMEXPO 2024 ambayo yana siku ya tano tangu yalipofunguliwa rasmi tarehe 26 Septemba 2024.

Katita picha ni baadhi ya watembeleaji wakiendelea kupata huduma kutoka kwa taasisi na makampuni mbalimbali waliojitokeza mapema leo hii. Ikumbukwe tu maonesho haya yanatarajiwa kufungwa rasmi siku ya tarehe 2 Oktoba 2024.