Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

WANANCHI WARIDHIKA NA HUDUMA YA PAPO KWA PAPO TIMEXPO

  • October 2, 2024

1 Oktoba, 2024
Dar es salaam
Maonesho ya Kimataifa ya Viwanda yameendelea  ambapo wananchi wameendeleea kujitokeza na kupata huduma kutoka kwa waoneshaji wa Maonesho haya ambao ni , taasisi na Makapuni  zinazotoa huduma na bidhaa mbalimbali,  wananchi wanasisitizwa kuendelea kujitokeza kwa wingi katika maonesho haya.
                                                                                                                                                                                                                                                         Baadhi ya watembeleaji wamekiri kupatiwa huduma bora na kwaharaka kwa waoneshaji waliopo katika Maonesho haya ikumbukwe kuwa Maonesho ya TIMEXPO yaliyoanza tarehe 26 Septemba 2024 yanatarajiwa kufungwa rasmi kesho tarehe 2 Oktoba na Mhe. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt, Selemani S. Jafo katika ukumbi wa Ally Hassan Mwinyi uliopo katika Kiwanja cha J K Nyerere Sabasaba Jijini Dar