Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

SIKU YA CHINA YATIKISA SABASABA 2025.

  • July 6, 2025

6 JULAI, 2025.

Programu ya Siku ya China imenogesha na kiwavutia Watembeleaji wengi kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam SABASABA 2025, siku ya China imeangazia sekta ya Viwanda, Usafirishaji, Ujenzi, Miundombinu, Elimu, Tekinolojia pamoja na Nishati ambapo Mgeni Rasmi katika siku hii ni Bi. Fatma Mabrook, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Maendeleo ya Biashara Zanzibar. Aidha ujumbe kutoka China umeaidi kudumisha ushirikiano wa Biashara na Tanzania siku hii imefanyika katika Ukumbi wa Sabasaba Hall uliopo katika kiwanja cha Mwl. Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.