Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

CHINA NA TANZANIA KATIKA USHIRIKA WA KIBIASHARA

  • July 30, 2024

Dar es Salaam
30 Julai,2024

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) imeendelea kuhakikishia  wafanyabiashara kutoa ushirikiano katika kutafuta fursa za kibiashara na masoko ndani na nje ya nchi katika kongamaono la biashara kati ya China na Tanzania liliyofanyika katika hoteli ya Johari Rotana.

Katika picha ni Bw. Deo Shayo ambaye ni Afisa Biashara Mwandamizi wa TANTRADE akiwasiliaha taarifa ya mwenendo wa biashara na fursa zilizopo kati ya nchi ya Tanzania na China katika kongamano la biashara lililofanyika leo tarehe 30 Julai, 2024 katika hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam.