Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

CGP. JEREMIAH KATUNGA APENDEZWA NA MAONESHO YA SABASABA 2025

  • July 5, 2025

Mkuu wa Jeshi la  Magereza nchini, Kamishna Generali wa Magereza CGP. Jeremiah Yoram Katunga ametembelea Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, SABASABA 2025 kwa lengo la kuona bidhaa na huduma mbalimbali za Kitanzania pamoja na zakigeni, ikiwa ni siku ya nane ya Maonesho, mamia kwa maelfu ya watembeleaji wanaendelea kujitokeza kwa lengo la kujipatia huduma mbalimbali za kijamii. Sabasaba 2025 " kidijitali zaidi". Maonesho haya yameanza tarehe 28 Juni na kutamatika Julai, 13 2025.