Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

WADAU WABIASHARA WAPATA ELIMU YA UTALII

  • September 22, 2024

22 Septemba 2024
Zanzibar

Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililoandaliwa na ZEEA pamoja na TANTRADE la toa mafunzo maalumu ya Utalii katika siku ya Tatu ya Maonesho hayo ambapo yamelenga kutoa elimu kwa wajasiriamali na Askari wa utalii leo tarehe 22 Septemba 2024 katika viwanja vya Nyamanzi Fumba Zanzibar.


Mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo wajasiriamali na Askari wa utalii ambapo elimu hiyo imetolewa na Kamisheni ya Utaliii Zanzibar ikiwa nimuendelezo wa wiki ya Utalii duniani itayoadhimishwa siku ya tarehe 27 Septemba