Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

BONGO MOVIE YAHAMIA SABASABA, KIJIJI CHA SANAA.

  • July 3, 2025

2 JULAI 2025.

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania katika kutekeleza majukumu yake ya uratibu wa Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu SABASABA imekusogezea Burudani kupitia Maonesho ya Sabasaba ambayo yameanza tangu tarehe 28 Juni 2025, kupitia Sabasaba, TanTrade imekuketea Kijiji cha Sanaa kinachohusika na kutoa burudani kwa watembeleaji wa Maonesho, kuna Wasanii wa filamu "BONGO MOVIE", Bongo Fleva, Michezo mbalimbali ya watoto na wakubwa. "SABASABA 2025 Kidigitali zaidi".