Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

UJUMBE KUTOKA INDIA WAENDELEZA KAMPENI YA WIGO WA BIASHARA

  • September 27, 2024

27, Septemba 2024

Waja na fursa za masoko kutoka Nchi zaidi ya 40, ulimwenguni. Kupitia umoja wao wa BOHRA COMMUNITY uliofika katika ofisi za Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) wasisitika kuhusu uhusiano bora wa biashara kwa korido ya Tanzania na India, Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara yahaaidi kutoa ushirikiano wa taarifa za bidhaa madhubuti zinazoitajika kwa walaji wa masoko ya nje,

Aidha Bohra community wamepanga mkakati wa kushiri maonesho jayajo ya 49 ya Biashara maarufu (Sabasaba) ili kuwapatia fursa wafanyabiashara wa India sambamba na wafanya biashara kutoka mataifa mwengine fursa ya kuuza bidhaa na huduma zao, kujifunza mbinu na tekinolojia mpya katika uwanja wa biashara