November 5, 2024
FURSA ZA MASOKO YA KIMATAIFA 21 -25 Octoba 2024
Make an enquiry
Muuzaji mwenye sifa natakiwa kutuma taarifa zifuatazo:-
i. Bei kwa tani,
ii. Sehemu mzigo ulipo na
iii. Kiwango cha mzigo ili kuunganishwa na mnunuzi.
Kadhalika Muuzaji anatakiwa kuwa na vibali vya kusafirisha bidhaa nje ya nchi.
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inawaunganisha wazalishaji
wa mazao hayo na wanunuzi kupitia barua pepe: enquiries@tantrade.go.tz
info@tantrade.go.tz Aidha taratibu za kusafirisha bidhaa hizo nje ya nchi zimeainishwa
kwenye tovuti ya www.trade.tanzania.go.tz