Mkutano wa Kilele wa Mifumo ya Chakula Afrika 2023

TanTrade inakukaribisha kwenye kilele cha Jukwaa la chakula
Afrika tarehe 5-8 Septemba, 2023 ktk ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC)
Dar es Salaam ambapo Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassan atakuwa mwenyeji.
Jukwaa hili linatoa fursa za Masoko na Uwekezaji kwa wadau katika mnyororo wa
uzalishaji wa chakula nchini.
Wajumbe 3,000 kutoka mataifa mbalimbali duniani wanatarajiwa
kushiriki wakiwemo viongozi wakuu wa serikali.
Jiandikishe sasa kushiriki kwa kubonyeza link hapa chini