Maonesho ya Biashara nchini Comoro

Maonesho ya Biashara nchini Comoro yaliyoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro, yanayohusisha Taasisi za umma na binafsi zinazotarajia kutangaza bidhaa nchini comoro.
Uchaguzi tarehe 29 Oktoba, 2025
Kura yako haki yako, jitokeze kupiga kura