Maonesho ya kitaifa na kimataifa Nane Nane

Maonesho ya kitaifa na kimataifa ya Nane Nane, Yatakayoadhimishwa katika mkoa wa Mbeya yakihusisha sekta ya Kilimo,Ufugaji na Uvuvi.
kauli mbiu ya Maonesho haya ni 'Vijana na Wanawake ni misingi imara ya mifumo endelevu ya Chakula''