Karibu

Nawakaribisha wadau wote kwenye Tovuti ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade). Tovuti hii imesanifiwa kwa ajili ya kutoa taarifa kwa Wadau na Umma kwa ujumla juu ya udhibiti ,utendaji,na ushauri wa kuendeleza na kukuza biashara ya ndani na nje ya nchi.