Habari

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa(katikati) akipokea maelekezo kutoka kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania(TanTrade) Bi.Latifa Khamis(kulia

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa(katikati) akipokea maelekezo kutoka kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania(TanTrade) Bi.Latifa Khamis(kulia
Imewekwa Jan, 16 2020

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa(katikati) akipokea maelekezo kutoka kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania(TanTrade) Bi.Latifa Khamis(kulia) kuhusu Kliniki ya Biashara baada ya kuizindua rasmi tarehe 10 Januari,2020 Zanzibar.(Kutoka kulia wapili ni Waziri wa Viwanda Zanzibar Mhe.Balozi Amina Salum Ali ,wakwanza ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TanTrade Dkt.Ngw’anza Kamata)