Habari

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi Latifa Khamis akitoa maelezo kwa Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein kuhusu Kliniki ya Biashara inavyotoa huduma katika Maonesho ya Wajasiriamali wa Tanzania wakishere

Imewekwa Nov, 19 2019

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi Latifa Khamis akitoa maelezo kwa Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein kuhusu Kliniki ya Biashara inavyotoa huduma katika Maonesho ya Wajasiriamali wa Tanzania wakisherehekea miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika viwanja vya Fumba mji mpya Zanzibar.