Habari

Mhe Innocent Bashungwa, Waziri wa Viwanda na Biashara akifunga mkutano wa wadau wa nafaka uliolenga kujadili fursa zilizopo kwenye tasnia ya nafaka na jinsi ya kuzifikia ikiwa ni pamoja na masoko. Katika mkutano huo ameielekeza TanTrade kupita kusikiliza

Imewekwa Aug, 31 2019

Mhe Innocent Bashungwa, Waziri wa Viwanda na Biashara akifunga mkutano wa wadau wa nafaka uliolenga kujadili fursa zilizopo kwenye tasnia ya nafaka na jinsi ya kuzifikia ikiwa ni pamoja na masoko. Katika mkutano huo ameielekeza TanTrade kupita kusikiliza changamoto za wadau hao.