Habari

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akiangalia picha yake iliyotengenezwa kwa ushanga na mshiriki wa Maonesho ya ya Wiki ya Viwanda SADC yaliyofanyika JNICC

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akiangalia picha yake iliyotengenezwa kwa ushanga na mshiriki wa Maonesho ya  ya Wiki ya Viwanda SADC yaliyofanyika JNICC
Imewekwa Aug, 08 2019

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akiangalia picha yake iliyotengenezwa kwa ushanga na moja kati ya waoneshaji wa bidhaa za kutengenezwa kwa mikono kwenye Maonesho ya Wiki ya Viwanda SADC yaliyofanyika JNICC Dar es Salaam.