Habari

Mhe.Balozi Amina Salum Ali Waziri wa Biashara na Viwanda,Zanzibar(anaeangalia bidhaa) ambeye ni mgeni Rasmi kwenye Siku Maalum ya Viungo na Mwani inayofanyika kwenye Maonesho ya 43 ya DITF(SabaSaba) akitembelea Maonesho Madogo ya Viungo na Mwani yanayofa

Imewekwa Jul, 05 2019

Mhe.Balozi Amina Salum Ali Waziri wa Biashara na Viwanda,Zanzibar(anaeangalia bidhaa) ambeye ni mgeni Rasmi kwenye Siku Maalum ya Viungo na Mwani inayofanyika kwenye Maonesho ya 43 ya DITF(SabaSaba) akitembelea Maonesho Madogo ya Viungo na Mwani yanayofanyika sambamba na Siku hiyo