Dira, Dhima & Viini Thamani

DIRA

Kuwa kitovu cha ufanisi wa hadhi ya kimataifa katika kuendeleza na kukuza uchumi wa nchi kupitia biashara.

DHIMA

Kuwezesha ukuaji wa uchumi wa Tanzania kupitia kuendeleza na kukuza bidhaa na huduma mbalimbali kwa masoko ya ndani na nje ya nchi.

VIINI THAMANI

> Utaalamu katika utoaji huduma

> Utekelezaji wa majukumu kwa ushirikiano

> Uadilifu, Utawala bora, Uwajibikaji na Uwazi

> Ushiriki katika masuala ya kijamii