Habari
Imewekwa: 29/03/2021
TAARIFA KWA UMMA
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) yenye dhamana ya kisheria kusimamia Maendeleo ya Biashara Tanzania inapenda kuutangazia Umma wa Watanzania kuwa imefungua Dawati Maalum la Malalamiko yanayohusiana na Biashara. Bonyeza hapa kupakuwa Taarifa