Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

TANTRADE YATANGAZA "MADE IN TANZANIA" KATIKA MAONESHO YA 60 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (60 FACIM), 2025 MSUMBIJI.

  • September 1, 2025

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inaendelea kutangaza Bidhaa mbalimbali zinazozalishwa Tanzania kupitia Banda lake la "Made in Tanzania 
", katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea nchini Msumbiji. Watembeleaji mbalimbali wamevutiwa na  bidhaa hizo ikiwemo Korosho, Kahawa, Chai na Mavazi ya Tanzania.
Aidha, Maonesho haya yanaendelea kufungua fursa  za Masoko kati  ya Msumbiji na Tanzania na yanataraji  kuhitimishwa tarehe 31 Agosti 2025.