MHE. DKT. DOTTO MASHAKA BITEKO NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI AFUNGA KIKAO KAZI CHA WENYEVITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA JIJINI ARUSHA.
- August 26, 2025
26 AGOSTI, 2025.
Mhe. Dkt. DOTTO MASHAKA BITEKO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati amefika kwenye Kikao kazi Cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kwa lengo la kuahirisha kikao kazi kilichofanyika kwa lengo la kukuza ustawi wa uchumi wa Tanzania. Naibu Waziri Mkuu ambae ndiye Mgeni Rasmi kwenye ufungaji wa Kikao hiki amepokelewa na Dkt. Latifa M. Khamis Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wakurugenzi Wakuu alipowasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano AICC Jijini Arusha.