DKT. MPANGO AFUNGUA RASMI KIKAKOKAZI CHA WENYEVITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA JIJINI ARUSHA.
- August 25, 2025
24 Agosti 2025.
Mkutano wa Wenyeviti wa bodi Watendaji wakuu wa Taasisi za Umma (CEO’s Forum 2025) umefunguliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Isdor Philipo Mpango ambaye amemwkilisha Dkt. Samia Saluhu Hassan katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Akimwakilisha Mgeni Dkt. Mpango ametoa rai kwa taasisi za umma kuzingatia ubora wa bidhaa na huduma zinazozalishwa nchini pamoja na kusimamia rasilimali za umma na kuimarisha usimamizi wa fedha za umma, kuimarisha ushirikiano wa taasisi za umma na zakimataifa.