Video Albums

WAFANYABIASHARA WA TANZANIA KUUZA BIDHAA NCHINI UFARANSA

.

Posted On: Jun 05, 2018

Opening remarks from TanTrade Director General during 1st Tanzania - Malawi Trade and Investment Forum in Mbeya region July, 2018

.

Posted On: Aug 02, 2018

WAZALISHAJI WA BIDHAA ZA TANZANIA WAPATIWA MAFUNZO WEZESHI YA KUUZA BIDHAA ZA KILIMO NCHINI USWIDI

Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara (TanTrade) Bw.Boniface Ngowi akizungumza na vyombo vya Habari amesema TanTrade kwa kushirikiana na Ubalozi wa Swideni wanatoa mafunzo na hamasa kwa Wafanyabiashara wa Tanzania ili waweze kuingiza bidhaa za kilimo katika soko la Swideni

Posted On: Oct 02, 2018

Kuna Soko kubwa la Kahawa Nchini Uswidi;Ludvig Bontell

Katibu wa Ubalozi wa Uswidi aneshughulikia biashara Bw. Ludvig Bontell amesema kunanafasi kubwa ya soko la bidhaa za kilimo nchini Uswidi kama kahawa ambayo inahitajika kwa kiasi kikubwa katika nchi hiyo.

Posted On: Oct 02, 2018

MAONESHO YA TATU YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA(2018)

.

Posted On: Jan 02, 2019

FURSA YA SOKO LA ZAO LA MUHOGO

Kampuni ya JV Biotech iliyopo Kiwangwa yawakaribisha wazalishaji wa bidhaa ya Muhogo maeneo ya Chalinze na Bagamoyo kuwapelekea bidhaa hiyo.

Posted On: Jan 29, 2019