TANGAZO LA UPANGISHAJI

Imewekwa: Nov 22, 2018


Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inapenda kuufahamisha umma kuwa inapangishamajengo na maeneo ya wazi ndani ya Uwanja wa Maonesho wa Mwl J.K. Nyerere kwa ajili ya ofisi na huduma nyingine za kijamii.Bonyeza hapa kupata Maelekezo zaidi