Hongera kwa Expolink Events & Publication

Imewekwa: Nov 05, 2018


Hongera kwa Expolink Events & Publication kwa kushirikiana na EXPO GROUP kwa kufuata taratibu za uandaaji wa Maonesho yaitwayo 21st Africa 2018 Build Expo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Agakhan-Diamond Jubilee kuanzia tareh 1 hadi 3 Novemba, 2018. TanTrade inaendelea kuwakumbusha waandaji wa Maonesho mbalimbali ndani na nje ya nchi kuwasiliana na TanTrade wenye Mamlaka ya kusimamia na kudhibiti Maonesho nchini ili kupata kibali