FURSA ZA KUUZA BIDHAA ZA TANZANIA NCHINI NIGERIA

Imewekwa: Jun 13, 2018


Mamlaka ya maendeleo ya Biashara Tanzania kwa kushirikana na Ubalozi Nchi Nigeria inawakaribisha Wafanyabiashara wote kushiriki Maonesho ya Kimataifa Nchini Nigeria yatakayofanyika katika eneo la Tafawa Belewa jijini lagos Nigeria kuanzia tarehe 2 hadi 11 November, 2018. Ili kuthibisha ushiriki wako pitia barua pepe info@tantrade.go.tz. Soma zaidi

Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti hii https://lagosinternationaltradefair.com.ng/