Habari

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa akizindua mpango wa uzaji wa matrekta 2400 ya URUSUS kampuni iliopo Kibaha Tanzania katika sherehe za uffungu wa Maonesho ya 42 ya DITF 2018

Imewekwa Jul, 08 2018