Habari

Imewekwa: 13/06/2018

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA,BIASHARA NA UWEKEZAJI ATEMBELEA TANTRADE

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA,BIASHARA NA UWEKEZAJI ATEMBELEA TANTRADE

Ludovick J.Nduhiye, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji akikagua maandalizi ya Maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam akiongozwa na Mkurugenzi wa Ukuzaji na Uendelezaji Biashara TanTrade Bi.Anna Bulondo. Maonesho haya yanatarajia kuanza tarehe 28 Juni hadi 13 Julai, 2018 katika uwanja wa Maonesho ya Mwl J.KNyerere