Habari

Imewekwa: 11/07/2018

Mh .Charles Mwijage, azindua Business Clinic leo hii Tarehe 3/7/2018, katika Maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa.

 Mh .Charles Mwijage, azindua Business Clinic leo hii Tarehe 3/7/2018, katika Maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa.

Mwijage, alizindua Business Clinic Tarehe 3/7/2018, katika Maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa. Huduma ya hiyo inaendelea kutolewa kwenye Viwanja vya Maonesho vya Mwalimu J.K.Nyerere, vilivyopo Barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam. Wataalamu/watoa huduma kutoka TRA, SIDO, TBS, BRELA, WMA, NEEC, NEMC, TFDA, OSHA, TANTRADE na wengine wameungana kuhudumia Umma wa Tanzania. Wahi mapema , mjulishe na mwenzio.