MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA UZALISHAJI NA UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA MADINI YA DHAHABU

MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA UZALISHAJI NA UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA MADINI YA DHAHABU

Mahali

Mjini Geita Katika Uwanja wa CCM Kalangalala Mkoani Geita

Tarehe

2018-09-24 - 2018-09-30

Muda

9:00 Asubuhi - 11:00 Jioni

Madhumuni

Kuonesha Technojia ya uchimbaji wa madini ya dhahabu, uongezaji thamani na kutangaza fursa za uwekezaji na biashara katika Sekta ya Madini nchini.

Event Contents

Maonesho ya Teknolojia ya Uzalishaji na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini ya dhahabu mkoani Geita yanatarajia kuanza tarehe 24 – 30 Septemba, 2018

Washiriki

Kampuni za Madini , Taasisi za Umma & Walaka , Jumuiya za Wachimbaji wa Dhahabu, Taasisi za Fedha Makampuni ya Bima, SMEs, Taasisi binafsi (N

Ada ya Tukio

Bonyeza hapa kupata fomu ya Ushiriki wa Maonesho

Simu

Namba ya Simu 0763444000, 078897288972849, 0762468542

Barua pepe

ras.geita@tamisemi.go.tz, info@tantrade.go.tz,