SOKO LA SABASABA

Imewekwa: Aug 29, 2018Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inawakaribisha kwenye "Soko la SABASABA " kila Jumamosi na Jumapili kuanzia saa 2.00 asubuhi mpaka 12.00 jioni. UZA, CHEZA, BURUDIKA . Hakuna kiingilio

WOTE MNAKARIBISHWA